Apu ya Habari za UN ni mahala pako kupata habari za punde na matukio kutoka Umoja wa Mataifa kupitia uchambuzi wa kina kwa video, maandishi, picha na sauti. Tumia apu hii kwa ukamilifu katika lugha za kiarabu, kachina kiingereza, kifaransa, kihindi, Kiswahili kireno, kirusi au kispanyola.
Yaliyomo:
• Habari za kimataifa kuhusu amani na usalama, maendeleo endelevu, haki za binadamu, tabianchi na kadha wa kadha.
• Habari, Video na vipindi kwa sauti, ikiwemo podikasi.
• Uchambuzi wa kina wa habari, picha, Makala, ripoti kutoka mashinani na mahojiano na maafisa waandamizi wa UN na Wajumbe wa Katibu Mkuu.
• Fuatilia mumbashara vikao vya Baraza la Usalama na Baraza Kuu.
• Tazama video kuhusu masuala yote makuu ya UN.
• Fuatilia mitandao ya kijamii kupitia majukwaa yetu mbalimbali.
• Fungua pia ukurasa mkuu wa UN ambao ni UN.org
Ilisasishwa tarehe
20 Ago 2024