Roho Mtakatifu

· Zion Christian Publishers
电子书
269
符合条件
评分和评价未经验证  了解详情

关于此电子书

Mfariji si kitabu tu kingine cha theolojia, bali ni mwongozo unaofaa sana na muhimu wa kuingia katika njia ya maisha yenye kujaa na kuongozwa na Roho. Wale walio na shauku ya kumjua Roho Mtakatifu kwa undani na kupata uzoefu Wake watabarikiwa watakapousoma uchanganuzi wa Dkt. Bailey wa mambo saba yanayomhusu Roho Mtakatifu:

·        Nafsi Hai ya Roho Mtakatifu

·        Huduma ya Roho Mtakatifu

·        Roho Saba za Bwana

·        Ubatizo wa Roho Mtakatifu

·        Karama Tisa za Roho Mtakatifu

·        Matunda Tisa ya Roho Mtakatifu

·        Maisha Yaliyojaa na Kuongozwa na Roho Mtakatifu

作者简介

Dkt. Brian J. Bailey aliwahi kuwa rais wa Zion Fellowship International, Taasisi ya Huduma ya Sayuni (Zion Ministerial Institute), na Chuo Kikuu cha Kikristo cha Sayuni (Zion Christian University) kwa zaidi ya miaka thelathini. Katika huduma yake ya miaka hamsini, amesafiri kwenda katika nchi zaidi ya mia moja akihudumu katika makanisa, semina, na shule za Biblia. Pia, Dkt. Bailey ameandika vitabu zaidi ya sitini, akiwafundisha waamini njia za Mungu na jinsi ya kuimarika katika njia ya utakatifu ambayo inaelekea katika Mlima Sayuni wa kiroho.

为此电子书评分

欢迎向我们提供反馈意见。

如何阅读

智能手机和平板电脑
只要安装 AndroidiPad/iPhone 版的 Google Play 图书应用,不仅应用内容会自动与您的账号同步,还能让您随时随地在线或离线阅览图书。
笔记本电脑和台式机
您可以使用计算机的网络浏览器聆听您在 Google Play 购买的有声读物。
电子阅读器和其他设备
如果要在 Kobo 电子阅读器等电子墨水屏设备上阅读,您需要下载一个文件,并将其传输到相应设备上。若要将文件传输到受支持的电子阅读器上,请按帮助中心内的详细说明操作。