FC Mezzi 5: Tisa Upande Mmoja

· Lindhardt og Ringhof
E-book
25
Páginas
As notas e avaliações não são verificadas Saiba mais

Sobre este e-book

Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kifo – ni muhimu sana!

FC Mezzi wanaanza muhula mpya, na lazima wajifunze kucheza tisa kila upande. Ni aina mpya ya mchezo kwenye wanja mkubwa na kanuni za kuotea. Wanamiliki hata nyumba ya kilabu, na wanaizindua kwa They even have their own clubhouse, and they are consecrating it with a horror sleepover. Jake akaushika mkono wa Ursula gizani. Je, anakuwa mpenzi wake wa kwanza? Kisha anasikia kwamba wasichana wanafikiria kuondoka kwenye timu ili kiucheza tenisi. Ghafla Jake anaacha kutenda kama nahodha halisi. Mpira wa miguu sio kuhusu kuishi au kufa – ni muhimu sana! \n\nJake na marafiki zake walianzisha timu yao wenyewe, FC Mezzi. Tunafuatilia michezo yao ya mazoezi, mashindano na ya kirafiki ya zamani na mipya. Pia kuna mambo ya mapenzi kidogo. \n\nMfululizo huu unahusu kufurahia michezo! Daniel Zimakoff alizaliwa mwaka 1956 na mkutubi aliyesomea. Kwa mara ya kwanza mwaka 1980 aliandika mfurulizo mkubwa wa vitabu vya watoto na ashawahi kupata Tuzo ya Vitabu vya Watoto kuto kwenye wizara ya utamaduni.

Avaliar este e-book

Diga o que você achou

Informações de leitura

Smartphones e tablets
Instale o app Google Play Livros para Android e iPad/iPhone. Ele sincroniza automaticamente com sua conta e permite ler on-line ou off-line, o que você preferir.
Laptops e computadores
Você pode ouvir audiolivros comprados no Google Play usando o navegador da Web do seu computador.
eReaders e outros dispositivos
Para ler em dispositivos de e-ink como os e-readers Kobo, é necessário fazer o download e transferir um arquivo para o aparelho. Siga as instruções detalhadas da Central de Ajuda se quiser transferir arquivos para os e-readers compatíveis.