Huu ni mkusanyiki wa visa, mikasa na matukio ya kusisimuwa katika kitabu cha simulizi. Kutana na yaliyowakuta viongozi, wafalme, watumwa na waugwana katika simulizi ndefu.
Kitabu hiki kimekusanya zaidi ya simulizi 50 zlizosimuliwa kwa umaridadi mkubwa.
Oxirgi yangilanish
23-dek, 2024