Aplikesheni hii ya ufuatiliaji wa ujauzito itakusaidia kubakia mtulivu kwenye ujauzito wako. Mwongozo huu wa ujauzito muda wote utakupa taarifa kuhusu michakato inayotokea katika mwili wako, ukuaji wa mtoto wako na vitu vyenye maana zaidi kwako, sasa, ikihusisha lishe yenye afya. Kuna kifuatiliaji pia cha kila kitu utakachohitaji, chini tu ya kihesabu mkazo wakati muda utakapowadia. Kila wakati utakapohisi kutatanishwa na hujui jinsi ya kufanya kwenye hali ngeni, anzisha aplikesheni hii kutafuta majibu ya maswali yako.
Orodha kamili ya vipengele:
✔️ Maelezo ya ukuaji wa mtoto wako wa sasa
✔️ Mambo unayotakiwa kuyawekea umakini wiki hii.
✔️ Jaribu ujuzi wako kuona kama uko tayari kwa kujifungua, na shangazwa na utakachojifunza kuhusu mwili wako na kujifungua wakati ukiwa mama mjamzito.
✔️ Lishe ya ujauzito. Dondoo nyingi sana juu ya lishe, chakula unachoweza na usichoweza kula kwa sasa na dawa unazoweza kunywa.
✔️ Dodondoo kwa kila wiki ya ujauzito wako, kutoka utungaji wa mimba hadi kujifungua, ikihusisha mazoezi, vitabu kusoma, na vitu vingine kwa ujauzito wenye afya.
✔️ Kuvuta umakini wako kwenye tarehe za muhimu za kalenda ya ujauzito wako.
✔️ Orodha kwa kila miezi mitatu, orodha za vya kufanya inayoweza kuharirika kwa kila miezi 3 ya vipindi vya miezi mitatu.
✔️ Orodha ya vitu utakavyohitaji hospitali na mara baada ya mtoto wako kuzaliwa.
✔️ Kikokotoo cha tarehe ya matarajio ya mtoto kwa tarehe ya utungwaji mimba.
✔️ Kikokotoo cha ujauzito. Na kifaa kizuri kwa kompyuta yako ambacho huonyesha umri wa sasa wa mtoto wako.
✔️ Aplikesheni ina kifuatiliaji mkazo kizuri ambacho kitakwambia wakati utakaokwenda hospitali. Kifaa kinachofuatilia uchungu kwenye sehemu ya statasi kitakusaidia kufuatilia mikazo ya uchungu, pia.
Usisahau kutumia jarida lako na mwisho wa ujauzito wako utaweza kuangalia nyuma kwenye maendeleo yako na kukumbuka mawazo yako ya siku kwa siku na hisia kwa picha zako!
⭐️⭐️⭐️⭐️⭐️
Tulifanya kadi kwa bidii kutengeneza aplikesheni bora itoayo taarifa kamili kwa wamama watarajiwa. Usisite kuwasilisha mapendekezo yako na pendekeza vipengele vipya ambayo tutajaribu kuvifanyia kazi haraka iwezekanavyo.
Ilisasishwa tarehe
20 Jan 2025