Tusaidie kujaribu programu mpya! Tumeunda kivinjari kipya cha Opera for Android, na tungependa ukijaribu na kutuambia unachofikiria.
Una pendekezo? Jiunge na timu ya Opera for Android kwa majadiliano kwenye forums.opera.com. Maoni yako ni muhimu sana kwetu, na utakuwa sehemu muhimu ya kuhakikisha kuwa hii itakuwa moja ya kivinjari chetu bora cha Android.
Pakua Opera ya Android beta leo na ujaribu vipengele vipya vinavyoundwa haswa kwa kivinjari cyetu bora zaidi. Kuwa sehemu ya mchakato wetu wa kuendeleza na uipe Opera maoni ili kutusaidia kuunda kivinjari bora cha vifaa bora vya simu za mkononi.
Kushiriki katika beta ni bila malipo na wazi kwa yeyote. Kunakurunusu kufikia mapema kivinjari chetu cha haraka, kilichoundiwa simu mahiri maarufu za Android. Kwa beta yoyote, kunaweza kuwepo hitilafu fulani na sasisho za kila mara, lakini tunakuhimiza kuripoti matatizo unayokumbana nayo unapojaribu toleo hili la Opera ya Android.
Tembelea jukwaa letu ili ushiriki kwenye majadiliano na wasanidi programu na watumiaji wengine wa beta: http://forums.opera.com/categories/en-opera-for-Android/
Ikiwa una swali la haraka, unaweza kupata usaidizi katika majibu yetu ya maswali yanayoulizwa sana kwenye http://www.opera.com/help/mobile/android/.
Ikiwa unatafuta toleo thabiti la umma la kivinjari cha Opera ya Android, unaweza kulipata kwenye /store/apps/details?id=com.opera.browser.
Opera inaweza kuonyesha matangazo kutoka Facebook. Ili kupata maelezo zaidi, tazama https://m.facebook.com/ads/ad_choices
Kwa habari zote za sasa kwenye Opera, na kuwasiliana nasi kwa njia rahisi zaidi, tufuate kwenye Twitter au upende ukurasa wetu wa Facebook.
Twitter – http://twitter.com/opera/
Facebook – http://www.facebook.com/opera/
Sheria na Masharti
Kwa kupakua programu hii, unakubali Makubaliano ya Leseni ya Mtumiaji kwenye http://www.opera.com/eula/mobile. Pia, unaweza kujifunza jinsi Opera inavyotumia na kulinda data yako katika Taarifa yetu ya Faragha kwenye https://www.opera.com/privacy.
Ilisasishwa tarehe
17 Jan 2025