Download app hii ili kuweza kusoma kwa urahisi kitabu cha Kesha la asubuhi, app kwaajili ya simu ili kumuwezesha mtumiaji wa simu janja (smartphone) kujipatia ujumbe ule unaopatikana katika kitabu harisi cha Kesha la asubuhi.
Hii ni programu ya bure kabisa na haimuhitaji kutumia malipo yoyote ili kutumia au kusoma sehemu yoyote ndani ya programu.
Pakua app hii ya Kesha la asubuhi, na hakikisha unasoma kwa kufata tarehe husika kulingana na somo la siku hiyo. Kabla hujaanza kusoma ni vizuri ukamuomba Roho Mtakatifu ili kuongoza katika fasili sahihi, na kwakufanya hivyo imani yako itazidi kukua siku hadi siku na utazidi kubarikiwa na kuandaliwa kiroho kwaajili ya maisha baada ya maisha haya.
Ilisasishwa tarehe
9 Des 2024