Magari ya Ujenzi na Malori

Ina matangazoUnunuzi wa ndani ya programu
4.2
Maoni elfu 1.89
5M+
Vipakuliwa
Daraja la maudhui
PEGI 3
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini
Picha ya skrini

Kuhusu mchezo huu

Karibu kwenye Mchezo wa ujenzi kwa Watoto, app imeundwa kwaajili ya wataalamu wadogo ambao wanapenda kucheza na magari na malori, ambapo wanaweza kutengeneza barabara zilizo haribika na kukarabati nyumba. Upo tayari kuwa mjenzi mkuu au mtengenezaji? Chukua kofia yako sasa, kwasababu tuna michezo mingi ya kufurahisha ya gari, michezo ya ujenzi, na michezo ya 3D kwaajili yako kkuweza ucheza.
Katika Mchezo wa Ujenzi, utaweza kutumia ubunifu wako na ujuzi wa kutatua matatizo ili kujenga miundo ya kuvutia na kukarabati miundombinu iliyoharibika. Utaendesha magari mazuri ya ujenzi na kutumia zana maalum kuweka barabara, kujenga majengo, na kukarabati mabomba yaliyopasuka.

Jiji liko katika hali ya dharura. Foleni imesimama! Unahitaji kuokoa gari lililokwama kwenye mashimo. Endesha lori la kuvuta hadi kwenye mtaa wa tukio na uokoe gari hilo kwa ustadi kutoka kwenye shimo. Kazi nzuri! umeweza! Sasa ni wakati wa kutengeneza barabara iliyoharibika.
Je, uko tayari kuwa mtaalamu wa ujenzi wa barabara? Katika mchezo wa Ujenzi wa Barabara, utakuwa na jukumu la kukarabati barabara zilizoharibika na kujenga mpya. Utaendesha magari mazuri ya ujenzi kama vile tingatinga, vichanganyo vya saruji, na roller za barabarani na kuzitumia kufanya barabara kuwa laini na salama kwa kila mtu kuweza kutumia.

Fika kwenye eneo la ujenzi kwenye magari yako ya ujenzi na uangalie uharibifu na uamue jinsi ya kukarabati. Je, unahitaji kuweka lami mpya, kufukia mashimo, au kulainisha mabaka? Utakuwa na zana unazohitaji ili kukarabati haraka na kwa ufanisi. Lakini angalia foleni inayokuja na uhakikishe kuwa kila mtu anakuwa salama.
Inayofuata, cheza mchezo wa Ujenzi wa Jengo! Hapa, unaweza kujenga nyumba yako kwa kutumia matofali, nondo, na saruji. Utakuwa na jukumu la kubuni na kujenga majengo au nyumba bora zaidi katika mtaa. kila kitu kinawezekana, mawazo yako ndiyo kikomo pekee katika michezo hii ya 3D!

Chagua eneo linalofaa zaidi kwa jengo lako katika mchezo huu wa kujenga nyumba. Kisha, ni wakati wa kuanza kujenga! Endesha lori la uchimbaji hadi mahali hapo na uanze kuchimba msingi wa ujenzi wa nyumba. utatumia kila aina ya zana na nyenzo nzuri katika mchezo huu wa wajenzi ili kufanya mawazo yako yawe hai. Hakikisha unapima kila kitu kwa usahihi, ili jengo lako lisalie imara na lenye nguvu.

Waite wataalam wote wa mabomba! Angalia mchezo wa kushangaza wa urekebishaji wa Bomba. Hapa, utakuwa na jukumu la kukarabati mabomba yaliyoharibika chini ya barabara. Fika kwenye eneo ukiwa kwenye lori lako la ujenzi na ukague eneo hilo na ujue tatizo liko wapi. Mara baada ya kuyaona mabomba yaliyovunjika, ni wakati wa kufanya kazi!

Utahitaji kutumia zana maalum ili kuyafikia mabomba yaliyo chini ya barabara. Kisha anza kukarabati mabomba yaliyovunjika kabla ya usambazaji wa maji kukatwa. Lakini kuwa mwangalifu - utahitaji kufanya kazi haraka ili kuzuia mafuriko na kufanikisha hilo.

Na si hayo tu! Tunaongeza mara kwa mara michezo mipya na ya kusisimua kwenye app ya Mchezo wa Ujenzi, kwa hivyo endelea kufuatilia changamoto na matukio zaidi. Iwe unajishughulisha na ujenzi, ukarabati, au ubunifu, kuna kitu kwa kila mtu katika mchezo huu wa kuvutia wa lori za ujenzi kwa watoto.

Michezo yetu ya kujenga nyumba, michezo ya lori na michezo ya ujenzi ina michoro ya kuvutia na uchezaji angavu ambao utakufanya ushiriki kwa masaa mengi. app ni mahususi kwa ajili ya watoto wa rika zote ambao wanapenda kuunda, kufikiri na kuchunguza. Kukiwa na aina mbalimbali ya michezo kama vile mchezo wa magari ya ujenzi, michezo ya ujenzi na michezo ya 3D uweze kuchagua, hutawahi kuchoka, na utakuwa ukijifunza kitu kipya kila wakati.
hivyo unasubiri nini? Pakua app ya Mchezo wa Ujenzi leo na uanze kujenga, kukarabati na kuunda michezo hii ya kuvutia ya ujenzi kwa ajili ya watoto.
Ilisasishwa tarehe
4 Des 2024

Usalama wa data

Usalama huanza kwa kuelewa jinsi wasanidi programu wanavyokusanya na kushiriki data yako. Faragha ya data na mbinu za usalama zinaweza kutofautiana kulingana na matumizi yako, eneo ulilopo na umri wako. Msanidi programu ametoa maelezo haya na anaweza kuyasasisha kadiri muda unavyopita.
Hakuna data inayoshirikiwa na wengine
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha kushiriki data
Hakuna data iliyokusanywa
Pata maelezo zaidi kuhusu jinsi wasanidi programu wanavyobainisha ukusanyaji wa data
Kujitolea kufuata Sera ya Familia ya Google Play

Vipengele vipya

We've added the thrilling "Mud Mowing" game to Timpy Construction Games! Get ready to clear the mud and enjoy more construction fun with this new addition!