Pakua Michezo Ya Kujifunza Mtoto kwa toddler wa Umri wa miaka 2,3,4 na wafanye watoto wajifunze kwa kufurahi.Michezo hii ya Watoto na Pazzo ni maalumu kwa watoto wa umri wa miaka 2,3,4 & 5. Michezo hii ya toddler wa chekechea ni ya kusisimua na michezo ya kuelimisha ambayo itamuweka akicheza kwa masaa. Kuna zaidi ya michezo ya kuelimisha na pazzo 650+ kama vile kupanga,kupaka rangi,kulinganisha kivuli,kukamilisha pazzo, michezo ya kuvalisha, na zaidi ya kumfanya toddler wako ajifunze kuhusu maumbo,rangi,alphabeti,namba & zaidi.Michezo ya Kujifunza mtoto itamsaidia toddler wako akuze uwezo wake wa utambuzi. Inakuza uwezo wa mtoto wako kuhisi rangi, uratibu wa mikono na macho, na stadi za kazi katika kipindi cha mwanzo! Michezo hii mingi ya toddler & pazzo itamwezesha mtoto wako ajifunze kwa kufurahi.
Michezo Ya Kujifunza Mtoto zaidi ya 650+ kwa toddler wa umri wa miaka 2,3,4 ni mahususi kwa shule ya awali na chekechea wavulana na wasichana. toddler wako hatachoka kwa pazzo hizi zisizokwisha na michez. Michezo Ya Toddler ni njia nzuri kwako ya kufurahia muda wa mafunzisho na mtoto wako.Muangalie toddler wako akikamilisha michezo hii ya kufurahisha na pazzo pia akiwa anajifunza.Imejaa uzuri,mwonekano wa rangi za kung'aa na uishaji wa kufurahisha ambao utamshawishi mtoto wako ajifunze zaidi!
Michezo Ya Kujifunza Mtoto kwa toddler wa umri wa miaka 2,3,4 :
* Michezo 650+ ya kujifunza shule ya awali na chekechea
* Fumbua pazzo za kushirikisha
* Linganisha kivuli
* Linganisha maumbo na rangi
* Michezo ya kuvalisha na mingi zaidi!
Wasifu wa Michezo ya Kujifunza Mtoto kwa toddler wa miaka 2,3,4:
* Inafaa Kwa Watoto Wa Shule ya Awali & Chekechea
Michezo ya kujifunza toddler inafaa kwa wavulanaa & wasichana ndani ya shule ya awali & Chekechea. Watoto watajifunza wanyama,maumbo ,rangi na mengi zaidi!
* Rafiki kwa Mtoto
michezo yote & pazzo ndani ya app hii ni rafiki kwa mtoto. Toddler anaweza kucheza kwa urahisi.
* 650+ Michezo ya Kujifunza & Pazzo
Michezo 650+ inayoweza kumfunza toddler wako mazoea mazuri katika kipindi cha mwazo. Pakua sasa ili kuvumbua zote.
* Ongeza Uwezo Wa Utambuzi
Vitendo vya kufurahisha ndani ya app ya michezo ya toddler ambayo inaweza kuwasaidia watoto wako kuongeza uwezo wao wa utambuzi.
* Wahusika Wazuri & Uhuishaji
Waangazie watoto wako kwa wahusika wetu wazuri na wenye rangi za kung'aa na uhuishaji wa kushikisha wenye kufurahisha.
* Bila Internet
Unataka kumfanya mtoto wako acheze kipindi cha safari? Unaweza kufanya hivyo na michezo ya kujifunza toddler, muda wowote! Bila uhitaji wa mtandao wa internet. Ni salama kabisa kwa watoto & haina tangazo!
Sasa unasubiri nini? Anzisha safari ya watoto wako ya kujifunza mara moja! Pakua ili kuvumbua michezo yote ya kufurahisha ya kujifunza kwa watoto wenye umri wa miaka 2,3,4 Toddler SASA!
Ilisasishwa tarehe
3 Des 2024