Hakuna kununua chochote katika mchezo huu wa kuvisha nguo wasichana wa kifalme.
Kama uko na uraibu wa haya michezo ya mavazi, basi kuja uwaone hawa wasichana wazuri wa kifalme ambao wanano ngoja mabadiliko ya ajabu na mavazi mengine nzuri!
Je, hawa wasichana wa kifalme watakaa aje:Kisasa, kupendeza, kimtindo, kifalme, kawaida?.Tumia akili yako ya kimtindo na talanta yako ya ndani ya kimtindo kuunda mavazi ya kupendeza kwa kila msichana wa kifalme.
Chagua mtindo wako wa nywele,nguo, kinga, viatu, mabawa na nyongeza yoyote kwa wasichana wako wa kifalme. Huu mchezo unakubali wanamtindo wadogo kuendeleza ladha yao ya ujuzi wao wa mitindo.
Tunajua ya kwamba wasichana wanapenda michezo ya mavazi ya kupendeza, kwa hivyo tumeunda michezo mingi kwa wasichana wakila umri kwa mada tofauti! Angalia michezo yetu ya kimtindo wakiwemo wasichana wa kifalme,bibi harusi na mengine zaidi kwa kufuata "Michezo ya wasichana zaidi" kiungo! Michezo mingi ya bure ya wasichana na programu mingi ya mabadiliko mpya ya saluni yangoja!
Ilisasishwa tarehe
10 Okt 2024