Sasa unaweza kusikiliza na kupakua nyimbo za bongofleva kutoka kwa wasanii wa muziki wa kizazi kipya yaani bongo fleva na singeli pamoja på hip hop-kutoka Tanzania, Afrika mashariki på Afrika nzima.
Utapata nyimbo zote mpya kutoka kwa wasanii wakubwa na wasanii wapya kama vile
- Alikiba
- diamant Platnumz
- Marioo
- Jux
- Harmoniser
--Rayvanny
-zuchu
-Nandy
na wengine wengi.
Pakua na usikilize na kuona nyimbo mpya na video za nyimbo hizo Kila wakati hata ukiwa hauna bando.
Pia utapata kusoma habari za utaku zinazohusu mastaa na nyota wa muziki wa Tanzania.
Nyimbo mpya Kila wakati, Ipakue App hii sasa na ufurahie. usisahau kusambaza app hii kwa ndugu na marafiki.