Katika somo hili tutakwenda kuangalia kwa maisha ya Mtume Muhammad (s.a.w). Tutamuangalia Mtume katika nyanja zifuatazo:-
1. Historia yake na wazazi waka kutoka utotoni
2. Mtume Muhammad kama baba wa familia na kiongozi wa Ummah
3. Mtume Muhammad kama kiongozi wa majeshi na mwanasiasa.
4. Mtume Muhammad kama mfariji wa wanyonge na msaidizi wa mayatima, wajanae na masikini.
Somo hili litakuwa ni endelevu na lenye kuangalia kwa undani zaidi maisha ya Mtume Muhammad (s.a.w), Masahaba zake, makhalifa waliofata na mengineyo mengi.
Aktualisiert am
22.12.2024
Bücher & Nachschlagewerke