Kitabu cha Tumaini Kuu, toleo la kiswahili kama lilivyo tafasiliwa kutokea toleo la Kingeleza; Μεγάλη Ελπίδα.
Hiki ni kitabu cha Tumaini kuu ambacho kimewekwa katika mfumo wa application ya simu, mtumiaji ataweza kusoma bila hata kuwa na internet (εφαρμογή εκτός σύνδεσης).
Kupitia hiki kitabu cha Tumaini kuu. Utaelewa uchunguzi unaobainisha ukweli wa pambano kati ya wema na ubaya pamoja na mshindi wake.
Ενημερώθηκε στις
2 Ιουν 2024