Mafanikio App

Conté anuncis
50 k+
Baixades
Classificació del contingut
PEGI 3
Imatge d'una captura de pantalla
Imatge d'una captura de pantalla
Imatge d'una captura de pantalla
Imatge d'una captura de pantalla
Imatge d'una captura de pantalla
Imatge d'una captura de pantalla

Sobre l'aplicació

💥App hii, Itakusadia sana kwa namna moja ama nyingine kuweza kujua mbinu mbalimbali zitakazokusaidia kupata matokeo chanya kwenye kila jambo ulifanyalo, iwe ni katika biashara, mahusiano, masomo yako, uwekezaji na vitu vingine vya kimaf.

💥App hii Itakupa masomo mazuri ambayo yatakayokusaidia kuboresha mahusiano yako ya kifamalia na kimapenzi pia. Ikiwa mnapendana na mpenzi wako basi app hii itakusaidia sana ni kwa namna gani unaweza kuyafanya mahusiano yako yawe na mvuto zaidi. Vile vile itakusaidia namna ya kupata suluhu hasa pale mtakapokuwa mmegombana na mpenzi wako.

💥Mafanikio app, Kila siku itakusaidia ili uweze kusoma vitabu mbalimbali vya mafanikio, mahusiano, biashara, maisha vitakavyokujenga na kukupa mwangaza zaidi wa kuweza kufanikiwa kwenye kila jambo unalotaka kufanikiwa.

💥Pia Itakuwa ni jibu tosha katika kuhakikisha inakupa na kukujuza kila siku Mbinu za kupata ajira kwa urahisi na kuilinda ajira hiyo hatimaye uweze kuishi maisha ya ndoto zako.

💥Vilevile, Itakusaidia kuweza kupata majibu ya changamoto mbalimbali ambazo is zinayakumba maisha yetu kwa ujumla. Pia unaweza kusoma nukuu mbalimbali za kimaisha zitakazokujenga na kukufirisha na wakati mwingine kukupa hamasa za kiutendaji kwenye kila jambo unalolifanya au unalotaka kufanya.

Mambo mengine utakayoyapata hapa ni kwamba app hii-:
💖Itakupa masomo Mbalimbali ya Jinsi ya kufanikiwa katika kilimo chenye tija. Kilimo chenye tija ni kilimo ambacho kitakuwa na faida kwako au kwa maneno mengine ni kilimo biashara

💖 Imeeleza kwa kina njia za kupata mtaji wa kuanzisha biashara. Kwani wengi wetu tumekuwa hatufanyi biashara kwa kisingizo eti sina mtaji, basi ukiwa na Mafanikio App itakueleza ni kwa namna gani utapata mtaji na kufanya biashara yenye mafanikio.

💖 Mwisho, itakueleza mbinu mbalimbali za kuweza kupanga malengo ya kimaisha na hatimaye kuweza kuganikiwa kupitia malengo hayo uliyojiwekea, lakini vile vile app hii itakupa Mbinu mbalimbali zitakazokusaidia kujiajiri na kuwa mtu mwenye kye maik.

💖 Masomo mbalimbali yanayohusu masuala ya afya, ikiwa ni pamoja namna sahihi ya kujikinga na magonjwa ya yasiyoambukizwa yote yatapatika hapa, Idownload Sasa App hii ili uweze kufurahia masomo mbalimbali. ASANTE !!!
Data d'actualització:
21 de juny 2024

Seguretat de les dades

La seguretat comença per entendre com els desenvolupadors recullen i comparteixen les teves dades. Les pràctiques de privadesa i seguretat de les dades poden variar segons l'ús que es fa de l'aplicació, la regió i l'edat. El desenvolupador ha proporcionat aquesta informació i és possible que l'actualitzi al llarg del temps.
Aquesta aplicació pot compartir aquests tipus de dades amb tercers
Informació i rendiment de l'aplicació i Identificadors de dispositiu o d'un altre tipus
No es recullen dades
Més informació sobre com els desenvolupadors declaren la recollida de dades
Les dades s'encripten mentre estan en trànsit
Les dades no es poden suprimir

Assistència de l'aplicació