Hapa utajifunza kuhusu ibada za kiislamu na utekelezaji wake. Utaweza kujifunza vipengele kama:-
1. Masharti ya Ibada
2. Nguzo za ibada
3. Mambo yanayobatilisha
4. Fadhila zake
Hivyo katika mfululizo huu, tutakwenda kujifunza masomo yafuatayo:-
1. Ibada ya Swala na aina zake. Tutakwenda kuziona swala za sunnah, aina zake na faida zake.
2. Ibada ya funga pia inajulikana kama swaumu. Tutakwenda utekelezaji wa ibada hii, watu wanaopasa kufunga, na faida za kufunga.
3. Twahara na jinsi ya kujitwaharisha. hapa utajifunza kuhusu najisi na aina zake. Pia utajifunza kuhusu udhu, janaba, hedhi na nifasi. Zaidi utajifunza jinsi ya kujitwaharisha.
Masomo mengine ni pamoja na:-
1. Ndoa katika uisla
2. Utaratibu wa kufanya biashara
3. Taratibu za kuacha mke
4. taratibu za kugawa mirathi
5. Ibada ya Hija
6. Ibada ya zaka
আপডে’ট কৰা তাৰিখ
২৫-১১-২০২৪